2025 CCM kutumia Isaac Asimov science fiction kumpitisha Makonda kugombea Urais? (Franchise story)

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.

Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)

Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.

Na anaweza kumchagua RC makonda kuwa mgombea kulingana na utendaji wake wa kazi,

Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5 na akaitumia mwaka 1995 baada ya kuona orodha iloletwa haifai akasema muwekeni hata waziri Mkapa kwenye wagombea ili aje ampitishe,

Kwa bahati mbaya mbinu hii iliingiliwa na virus mwaka 2015 baada ya Chaguo la Kikwete kutupwa mbali
Na Mkapa akaitumia kutekeleza,

Haya ni mawazo yangu ambayo wengi wata realise siku ikitokea

Britanicca
 
Pole sana huijuwi siri ya siri.. Pole sana
 
Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5
Hapa hauko sahihi ila la Mwenyekiti na Makonda uko sahihi!

Waswahili tunasema kuna watu wanafuga misukule, lakini wenzetu wazungu wanaita "Zombie". Kuna chama mwenyekiti wao ndiye aliyeshikilia akili zao na anachoamua yeye ndiyo na wao hufuata.

Nadharia hii ya Isaac Asimov inafaa sana kwa wana CCM na chama chao!!
 
2025 Rais ni Muslim Makonda ni dini gani?

Shekhe Yayaha kapata mrithi..
 
Pia ningekuwa nimewaza juu ya majaliwa
Ila history haiwapendelei mawaziri wakuu
1. Mzee wa OAU yulee
2. Malecela katuachia lemutuzi ndo aliona ncha muhim
3.Lowassa
4. Pinda
5. Sumaye

Mama Samia suluhu ndo Rais ajaye uku lissu akiendelea kuwa mnadhimu wa kambi rasmi upinzani bungeni
 
Samia hawez mtiti wa makinikia
 
Hapa hauko sahihi ila la Mwenyekiti na Makonda uko sahihi!

Waswahili tunasema kuna watu wanafuga misukule, lakini wenzetu wazungu wanaita "Zombie". Kuna chama mwenyekiti wao ndiye aliyeshikilia akili zao na anachoamua yeye ndiyo na wao hufuata.

Nadharia hii ya Isaac Asimov inafaa sana kwa wana CCM na chama chao!!
Haha
 
HAIWEZEKAN MKUU.

KWANZA NI LAZIMA AWE MUISLAM 2025 BILA KUJALI ATATOKA CHAMA GANI.. KWA HYO MPK HAPO UTABIRI WAKO UMEFELI LABDA 2035

CCM ITAMSMAMISHA AIDHA HUSEIN MWINYI AU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA

UKAWA SIJUI KWA KWELI.
 
Nani kakwambià lazima awe musilamu, mbona unaleta mawaazo ya Lowassa ya mluteli??

Hatumchagui mtu kisa dini yake, unakumbuka mazamu ya Zanzibar yaliishaje, mwaka huu Zanzibar mwingine bara, imekomea Kwa mwinyi haha
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom