2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,998
Reaction score
831,572
Tunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.

Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya mazoezi oga vaa vizuri hata kama huendi popote,
kula vyakula vya asili, epuka nyama, jisomee majarida na vitabu vyenye kufunza mambo mema
pata siku za mapumziko na mazoezi.
Punguza/acha ngono
Punguza/acha vilevi vyote
Tumia muda mwingi kuwa pekee na sehemu tulivu
Fanya Ibada kwa imani yako

Haya ndiyo maisha yako PEKEE. Fanya unachoweza kupenda na kufurahia kila kipengele chake.hakuna kusubiri zaidi.

Kuwa mtu ambaye umewahi kutamani kutaka kuwa. Hii haitakuwa kama siku zingine, wakati huu utabadilika, utashikamana na mazoea, utazoea na utaona matokeo.

Ninakuamini... Nakuombea..
Pia soma: Ishinde hofu: Somo kwa watiifu na wasikivu

Ishinde hofu: Somo kwa watiifu na wasikivu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…