2021 NBA Playoffs special thread

VeronicaAmadu

JF-Expert Member
May 4, 2011
308
500
Congratulations they were the better team as compared to the Phoenix Suns. They lost the first two games but they won the next four games.

Asante sana . Namuangalia CP3 hapa anafanya media, nimesikia vibaya! He worked so hard and this was his last chance i feel for him
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
Naomba tu Phoenix wampe mkataba mwingine wa miaka miwili. Ataumia zaidi kama watamsusa ba hivyo kumuacha aondoke.

Asante sana . Namuangalia CP3 hapa anafanya media, nimesikia vibaya! He worked so hard and this was his last chance i feel for him
 
VeronicaAmadu

JF-Expert Member
May 4, 2011
308
500
Naomba tu Phoenix wampe mkataba mwingine wa miaka miwili. Ataumia zaidi kama watamsusa ba hivyo kumuacha aondoke.

Ikibidi aende Lakers kama nia yake ni championship. Sidhani kama akiwa Phoenix ana hiyo chance, hata kufika conference finals mwakani sidhani, akina Lebron na kina Curry hawatatolewa early na watakua healthy. West kugumu sana! or do KD style and join the Bucks
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
Performance yake hasa kwenye NBA Finals inaweza kuwa imemuharibia soko lake kwa kiasi kikubwa. Lebron alitaka sana aende Lakers lakini sidhani kama Lakers watataka kumsign. Ni kweli Western conference ni kigumu sana. Ngoja tuone trend ya Free Agents itakavyoenda.

Kocha Mkuu

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,864

Ana player option 1 year 44mil, akiamua ku opt-in means atabaki Suns labda waamue kumuuza.

Tatizo la Lakers ni salary cap, the maximum they can offer ni around 10mil kwa mwaka.
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
Kuna tetesi aliona hiyo ni ndogo na umri umeenda hivyo anataka mkataba wa at least 3 years ba pesa ndefu zaidi ya hiyo 44. Anahofia akikubali huo mwaka mmoja halafu bahati mbaya akiumia ndiyo imetoka hata kupata $15 million per year itakuwa mgogoro.
Ana player option 1 year 44mil, akiamua ku opt-in means atabaki Suns labda waamue kumuuza.

Tatizo la Lakers ni salary cap, the maximum they can offer ni around 10mil kwa mwaka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom