Hiyo match naikumbuka Barca alishinda 1 bila akatolewa. Huku Borjan Kirkich (Kama nimekosea rekebisha) akifunga goli na kukataliwa.Mechi kama hii inanikumbusha Nusu Fainali ya UCL, mechibya marudiano kati ya Barcelona ya Pep Vs Inter Milan ya Mourinho, dk ya 14 Inter wanapata red card, imagine kucheza pungufu Nou Camp kwa dk 90
Why not, wanaweza kabisaaaKwa ujinga wetu hawa jamaa wanaweza enda worlcup kabla yetu
Hata mimi kwakweliSina cha kuwadai Comoros uwezo mmeonyesha ila mmenyongwa na fitna za CAF
Yah upo sahihi, siku ile ndio nilijua uwezo mzuri wa kukaba wa Mourinho...goli lilifungwa na PiqueHiyo match naikumbuka Barca alishinda 1 bila akatolewa. Huku Borjan Kirkich (Kama nimekosea rekebisha) akifunga goli na kukataliwa.
Uwezo huo wanao man, jamaa wana mipango sana, wanacheza kwa utulivu sana kiukweli.,Kwa ujinga wetu hawa jamaa wanaweza enda worlcup kabla yetu
Angeacha hata ile move basi tuone ingeishia wapiDuuuh huyu refa
Yeah.. dakika ya 84 ilikuwa.Yah upo sahihi, siku ile ndio nilijua uwezo mzuri wa kukaba wa Mourinho...goli lilifungwa na Pique
Muamala ushasoma...hataki kuharibu kibarua chake😂😂Angeacha hata ile move basi tuone ingeishia wapi
Halafu Etoo anashangilia wakati kafanya Mchongo.Refa bwege kabisa, 1st half extra time 4min, 2nd half extra time 3min halafu kamalizia game kwenye move, bwege kabisa.
Gambia watawapiga za kutosha hawa wajinga.
Iko wazi kakaNaona wachambuzi wa DSTV wanampongeza sana Keeper wa Comoro