Hii mechi imenikumbusha Fainali ya Uefa Champions League mwaka 1999, Man Utd walisawazisha dk ya mwisho kabisaaa baada ya kuwa nyuma kwa goli 1-0 muda mwingi wa mchezo