Hivi unajuwa unachokiongea?? Wapi nimeingiza udini? Basi na FORTALEZA anaeshabikia Algeria pia ni mdini kama ndiyo kigezo cha kushabikia waarabu, na GEORGE AMBANGILE Anaeshabikia ALGERIA pia ni mdini kama ndiyo kigezo chako.
Sikiliza kijana, hufai kuwepo humu, it shows wewe ni mbaguzi na ni mdini.
FORTALEZA , Mwangalie sana huyu kijana asije akaharibu uzi wake kwa ubaguzi.

mzabzab, huyu anajuwa anachokiongea? Kushabikia Algeria povu limemtoka, hajui every body na choice yake, eti nimekuwa mdini kwakuwa nashabikia Morocco na Algeria
Kifupi nchi nyingi za Africa ni waislam ndio wengi..
Angalia hao ambao sio Waarabu mfano Senegal, Mali, Sierra Leone, Mauritania, Guinea Bissau na Guinea waislam ni wengi sana. Kwahiyo ukishangilia hizo mojawapo utaonekana mdini?
Jamaa jinga sana.
Kitu kimoja nilichogundua kwenye hii tournament ni kwamab hii mipira ya kona mara nyingi mpira wa kwanza unakiwa defended well ila sasa second ball ndio mara nyingi inazalisha nafasi nyingi za kufunga