M momentoftruth JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,041 Reaction score 2,140 Jan 18, 2022 #961 Mwamuzi anawanyonga Malawi waziwazi Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,673 Jan 18, 2022 #962 nG'aMBu said: Diata,anakiwasha Monaco now, ni majeruhi ndio maana haumuoni Click to expand... Kashatoka ubeligiji...dah kijana anajua yule
nG'aMBu said: Diata,anakiwasha Monaco now, ni majeruhi ndio maana haumuoni Click to expand... Kashatoka ubeligiji...dah kijana anajua yule
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,516 Reaction score 14,183 Jan 18, 2022 #963 Senegal wamebebwa,ile ni penati ya ukweli yule kavutwa jezi kabla ya kuachwa sema tuu refa kaogopa lawama za kijinga kwa timu kubwa. Marefa kama Hawa ndio huwa wanawabeba Yanga na Simba,huu ni ushenzi.
Senegal wamebebwa,ile ni penati ya ukweli yule kavutwa jezi kabla ya kuachwa sema tuu refa kaogopa lawama za kijinga kwa timu kubwa. Marefa kama Hawa ndio huwa wanawabeba Yanga na Simba,huu ni ushenzi.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Jan 18, 2022 Thread starter #964 Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona
Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Jan 18, 2022 Thread starter #965 momentoftruth said: Mwamuzi anawanyonga Malawi waziwazi Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app Click to expand... VAR ndio imewanyonga
momentoftruth said: Mwamuzi anawanyonga Malawi waziwazi Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app Click to expand... VAR ndio imewanyonga
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,673 Jan 18, 2022 #966 FORTALEZA said: Hawa Malawi toka walivyojitoa CECAFA na kwenda COSAFA kiwango kimepanda Click to expand... Wana akili wameona huku cecafa siasa nyingi tuu hamna maendeleo ya maana
FORTALEZA said: Hawa Malawi toka walivyojitoa CECAFA na kwenda COSAFA kiwango kimepanda Click to expand... Wana akili wameona huku cecafa siasa nyingi tuu hamna maendeleo ya maana
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,673 Jan 18, 2022 #967 FORTALEZA said: Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona Click to expand... Ndio inavyotakiwa sio namba mpaka ufinye macho
FORTALEZA said: Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona Click to expand... Ndio inavyotakiwa sio namba mpaka ufinye macho
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,368 Jan 18, 2022 #968 Senegal anachezaje jamani, ana dalili zozote za kupata goli? Kwa mnaocheki live.
M momentoftruth JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,041 Reaction score 2,140 Jan 18, 2022 #969 FORTALEZA said: Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona Click to expand... Umeligundua hili nilifikiri nimimi peke yangu nimeshangaa sana Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
FORTALEZA said: Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona Click to expand... Umeligundua hili nilifikiri nimimi peke yangu nimeshangaa sana Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Jan 18, 2022 #970 FORTALEZA said: Hawa Malawi toka walivyojitoa CECAFA na kwenda COSAFA kiwango kimepanda Click to expand... Mara ya mwisho kwa Malawi kushiriki michuano ya CECAFA ilikuwa ni lini kaka?
FORTALEZA said: Hawa Malawi toka walivyojitoa CECAFA na kwenda COSAFA kiwango kimepanda Click to expand... Mara ya mwisho kwa Malawi kushiriki michuano ya CECAFA ilikuwa ni lini kaka?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,956 Reaction score 134,036 Jan 18, 2022 #971 MrConveter said: Senegal anachezaje jamani, ana dalili zozote za kupata goli? Kwa mnaocheki live. Click to expand... Kipa wa Malawi ni kikwazo
MrConveter said: Senegal anachezaje jamani, ana dalili zozote za kupata goli? Kwa mnaocheki live. Click to expand... Kipa wa Malawi ni kikwazo
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Jan 18, 2022 Thread starter #972 mzabzab said: Wana akili wameona huku cecafa siasa nyingi tuu hamna maendeleo ya maana Click to expand... Picha linaanza Cecafa ina katibu mkuu wa kudumu Nicholaus Musonye😂😂 hayo maendeleo yanatoka wapi??
mzabzab said: Wana akili wameona huku cecafa siasa nyingi tuu hamna maendeleo ya maana Click to expand... Picha linaanza Cecafa ina katibu mkuu wa kudumu Nicholaus Musonye😂😂 hayo maendeleo yanatoka wapi??
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,368 Jan 18, 2022 #973 OKW BOBAN SUNZU said: Kipa wa Malawi ni kikwazo Click to expand... Man of the match sio?
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Jan 18, 2022 Thread starter #974 Kushiriki kama mwanachama ni muda kidogo, siku hizi huwa anashiriki kama mgeni mualikwa Nigendako said: Mara ya mwisho kwa Malawi kushiriki michuano ya CECAFA ilikuwa ni lini kaka? Click to expand...
Kushiriki kama mwanachama ni muda kidogo, siku hizi huwa anashiriki kama mgeni mualikwa Nigendako said: Mara ya mwisho kwa Malawi kushiriki michuano ya CECAFA ilikuwa ni lini kaka? Click to expand...
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,956 Reaction score 134,036 Jan 18, 2022 #975 FORTALEZA said: Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona Click to expand... Senegal mmeanza nongwa. mmeokolewa na VAR
FORTALEZA said: Namba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona Click to expand... Senegal mmeanza nongwa. mmeokolewa na VAR
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,956 Reaction score 134,036 Jan 18, 2022 #976 MrConveter said: Man of the match sio? Click to expand... fikiria wana possession 21%
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Jan 18, 2022 Thread starter #977 momentoftruth said: Umeligundua hili nilifikiri nimimi peke yangu nimeshangaa sana Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nchi nyingi za Africa jezi zao ni hovyo
momentoftruth said: Umeligundua hili nilifikiri nimimi peke yangu nimeshangaa sana Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nchi nyingi za Africa jezi zao ni hovyo
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,956 Reaction score 134,036 Jan 18, 2022 #978 huyu kipa atafungwa na mahakama tu
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Jan 18, 2022 Thread starter #979 As it stand
nG'aMBu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 2,069 Reaction score 3,157 Jan 18, 2022 #980 mzabzab said: Kashatoka ubeligiji...dah kijana anajua yule Click to expand... Yap, Monaco wamevunja bank, anajua sana mpk anakera
mzabzab said: Kashatoka ubeligiji...dah kijana anajua yule Click to expand... Yap, Monaco wamevunja bank, anajua sana mpk anakera