Rais wa Cameroon, Paul Biya ametoa agizo kwa ofisi zote za umma pamoja na shule na vyuo kupunguza muda wa kazi ili kutoa nafasi kwa watu kuhudhuria mechi za Afcon 2021 nchini humo.
Pia watu watakaokata tiketi watapatiwa usafiri wa kwenda na kurudi bureeee
Kwahyo kuanzia kesho viwanja vitajaa