Nimesema angalau Huwa wanapambana mkuu sasa hizo timu za kaskazini world cup zimefika hatua gani? Makundi zinasepa, tena zingine huwa zinatoka Bila hata point
Ngoja akutane na Algeria or Morocco atapigwa kama hana akili......na rafiki yangu najuwa yuko upande wangu kuishabikia Algeria dada la madada Shadeeya, usinigeuke tuu ukahamia timu la lisiloeleweka

samahani mimi hata sijui imekuwaje naingia hapa ndo naona ugoro niliotuma.
Nisameheni wadau wote wa jf kilichopostiwa hapa kutoka kwangu hata mi sijaelewa imekuwaje.