Usidhani timu za North mashabiki wake ni waarabu tu π, refer comments za humu utaona timu zao zinapendwa
Mimi ni shabiki mkubwa wa Algeria kamanda, yani hapo huniambii kitu......i wish Algeria abebe, kama si yeye basi Morocco
Alafu huu ni mwanzo tu, ngoja kwenye Quarter final or Semi final ndiyo utaelewa