Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,086 Reaction score 122,430 Jan 13, 2022 #581 Nadhani kinachofanya game za Cameroon zikawa nzuri ni ule uwenyeji wake kwamba timu wanazokutana nazo hawakubali kuwa wanyonge hivyo nao wanakaza.
Nadhani kinachofanya game za Cameroon zikawa nzuri ni ule uwenyeji wake kwamba timu wanazokutana nazo hawakubali kuwa wanyonge hivyo nao wanakaza.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,086 Reaction score 122,430 Jan 13, 2022 #582 FORTALEZA said: Ethiopia sio wanyongeee Click to expand... Hakika.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,086 Reaction score 122,430 Jan 13, 2022 #583 Dabil said: naona hata sijamaliza kuandika wamesharudisha Click to expand... Yaani ethiopia kapewa dkk 4 tu za kufurahia kuongoza. 😀
Dabil said: naona hata sijamaliza kuandika wamesharudisha Click to expand... Yaani ethiopia kapewa dkk 4 tu za kufurahia kuongoza. 😀
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Jan 13, 2022 #584 Shadeeya said: Yaani ethiopia kapewa dkk 4 tu za kufurahia kuongoza. 😀 Click to expand... Leo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidi
Shadeeya said: Yaani ethiopia kapewa dkk 4 tu za kufurahia kuongoza. 😀 Click to expand... Leo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidi
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #585 Cameroon wamekuwa na desturi ya kuanza kuruhusu goli kwa hizi mechi mbili na kisha kusawazisha
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #586 Mipira ya krosi inawatesa sana Ethiopia
mathewa JF-Expert Member Joined Sep 5, 2012 Posts 784 Reaction score 1,180 Jan 13, 2022 #587 Dabil said: Leo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidi Click to expand... Mechi ya kwanza ya cameroon ilikuwa 2 kwa moja
Dabil said: Leo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidi Click to expand... Mechi ya kwanza ya cameroon ilikuwa 2 kwa moja
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Jan 13, 2022 #588 Shadeeya said: Nadhani kinachofanya game za Cameroon zikawa nzuri ni ule uwenyeji wake kwamba timu wanazokutana nazo hawakubali kuwa wanyonge hivyo nao wanakaza. Click to expand... halafu na kelele za mashabiki zinaleta amshaamsha siyo butu butu
Shadeeya said: Nadhani kinachofanya game za Cameroon zikawa nzuri ni ule uwenyeji wake kwamba timu wanazokutana nazo hawakubali kuwa wanyonge hivyo nao wanakaza. Click to expand... halafu na kelele za mashabiki zinaleta amshaamsha siyo butu butu
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #589 Daah Ethiopia wako moto, wanakosa umakini kidogo tu
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Jan 13, 2022 #590 mathewa said: Mechi ya kwanza ya cameroon ilikuwa 2 kwa moja Click to expand... kweli nilisahau
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #591 20' Cameroon 1-1 Ethiopia
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #592 Cameroon wanapelekewa moto
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Jan 13, 2022 #593 Hii mechi nasogeza tu mda ifike ya Simba ,mechi kali ila upenzi nao ni ishu
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Jan 13, 2022 #594 FORTALEZA said: Cameroon wanapelekewa moto Click to expand... Ethiopia sikutegemea kama wana uwezo kiasi hii
FORTALEZA said: Cameroon wanapelekewa moto Click to expand... Ethiopia sikutegemea kama wana uwezo kiasi hii
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #595 Dabil said: Ethiopia sikutegemea kama wana uwezo kiasi hii Click to expand... Hata mimi wamenishangaza, underdog ila wako vema
Dabil said: Ethiopia sikutegemea kama wana uwezo kiasi hii Click to expand... Hata mimi wamenishangaza, underdog ila wako vema
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Jan 13, 2022 #596 Ethiopia zile mbio zao za Olympic wamezileta afcon
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #597 Andre Onana golikipa wa Cameroon analazimika kufanya saves za kutosha ili kunusuru chama lake lisipigwe
Andre Onana golikipa wa Cameroon analazimika kufanya saves za kutosha ili kunusuru chama lake lisipigwe
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #598 25' bado 1-1
Jaffary JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 808 Reaction score 386 Jan 13, 2022 #599 Ethiopia wana mpira mzuri. Barcelona flani hivi. Unavutia kuangalia
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 13, 2022 Thread starter #600 Jaffary said: Ethiopia wana mpira mzuri. Barcelona flani hivi. Unavutia kuangalia Click to expand... Tusisahau Ethiopia wana klabu nzuri sana kwa ukanda wetu japo siku hizi siisikii sana St. George
Jaffary said: Ethiopia wana mpira mzuri. Barcelona flani hivi. Unavutia kuangalia Click to expand... Tusisahau Ethiopia wana klabu nzuri sana kwa ukanda wetu japo siku hizi siisikii sana St. George