Afcon mpaka sasa ina kasoro nyingi sana!! Kwa mtindo huu FIFA wataendelea kutupa nafasi chache sana World Cup
Hebu jiulize huko kwenye mechi za kufuzu ambazo hazipo live, timu zinanyongwaje? Afrika haki haipo aisee!!
They call it Africa, we call it home!!