Kwa game waliyoonyesha jana hata mimi namashaka hawafiki mbali kamanda....mwaka huu Nigeria wamejipanga.....Egypt wangelikua wanatumia makocha wazawa , hao wazungu wanaenda kula hela hakuna kocha hapo
Ni swala la muda tu π€£ nigeria wako vizuri sema hawakawii kukata pumzi, ni tofauti na timu za afrika kaskazini (kiarabu) tushazoea miaka yote wako π₯π₯π₯