Misri kapigwa msako wa maana sana, mwishoni benchi zima la ufundi wameenda kuomba self kwa Salah, hii inaonesha kuwa wanatambua uwezo wake anaouonesha kwenye soka la ushindani hivi sasa,, safi sana
Uko sahihi Mkuu...Napenda sana mpira wa kitabuni,wamecheza kama Mwalimu wao,alivyowalekeza,kuhusu uwezo wa Mpinzani wao,uzoefu wake kwenye michuano na hisitoria yake pia..Hongera Kwa Kocha wao..,Vijana wapya ,na wageni ndani ya Super Eagles,..lakini wameimudu vilivyo mechi yenye tension mno..Kila La Kheri Kwao.