2021 AFCON Special Thread

Pale mbele kuna watu kama 3 ila wanakimbiza mabeki wote
 
Sema hawa wachezaji wakutoka ulaya awakazi kama ulaya wajinga hawa.
 
Mpaka sasa kwa upande wangu mechi nilizozielewa ni ile ya Ufunguzi Cameroon vs Burkinabe, Algeria vs Siera Leone na hii inayoendelea sasa Nigeria vs Misri.

Misri Wameipoza Hii Mechi ni kama Hawataki kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…