blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,387 Reaction score 16,714 Feb 7, 2022 #3,621 Senegal kwenye matuta hamna chenu mamaaerrr
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,622 Kipa wa misri🔥🔥🔥
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,387 Reaction score 16,714 Feb 7, 2022 #3,623 New City said: Penalty Senegal hawatoboi kwa kipa huyu Click to expand... Kabisaa
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,624 Huyu kipa wa misri ndo mdaka mishale orijino
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 Feb 7, 2022 #3,625 Misry malizeni game haraka
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,626 Kwa hatua waliyofikia ningependa nuone matuta
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Feb 7, 2022 #3,627 Pole sana, ila kwa sisi watu wa Allah lazima tuseme hivyo. FORTALEZA said: Usitutishe Click to expand...
Pole sana, ila kwa sisi watu wa Allah lazima tuseme hivyo. FORTALEZA said: Usitutishe Click to expand...
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 Feb 7, 2022 #3,628 FORTALEZA said: Huyu kipa wa misri ndo mdaka mishale orijino Click to expand... Lijamaa linadaka mzee. Huyu ndiye kipa wangu bora AFCON
FORTALEZA said: Huyu kipa wa misri ndo mdaka mishale orijino Click to expand... Lijamaa linadaka mzee. Huyu ndiye kipa wangu bora AFCON
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,119 Feb 7, 2022 #3,629 I hate this!! dk zote hizi hakuna goli?? arrrgh!! Wanaume malizeni mpira dk 90 bana matuta hayana mbabe!!
I hate this!! dk zote hizi hakuna goli?? arrrgh!! Wanaume malizeni mpira dk 90 bana matuta hayana mbabe!!
Ekyoma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,177 Reaction score 2,805 Feb 7, 2022 #3,630 Hardlife said: Unatumia Bangi ya wapi? Click to expand... Ya Mara kwa Hapi mkuu
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Feb 7, 2022 #3,631 FORTALEZA said: Kwa hatua waliyofikia ningependa nuone matuta Click to expand... FORTALEZA said: Kwa hatua waliyofikia ningependa nuone matuta Click to expand... Pale golini kwa Misri kuna jitu fulani la kutisha ikifika wakati wa matuta.
FORTALEZA said: Kwa hatua waliyofikia ningependa nuone matuta Click to expand... FORTALEZA said: Kwa hatua waliyofikia ningependa nuone matuta Click to expand... Pale golini kwa Misri kuna jitu fulani la kutisha ikifika wakati wa matuta.
Ekyoma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,177 Reaction score 2,805 Feb 7, 2022 #3,632 Edson said: Umeota Click to expand... Ndio boss
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,383 Feb 7, 2022 #3,633 Wakienda matuta leo, basi Senegal wanabeba ubingwa
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,634 Dalmine said: Lijamaa linadaka mzee. Huyu ndiye kipa wangu bora AFCON Click to expand... Naunga mkono hoja yako
Dalmine said: Lijamaa linadaka mzee. Huyu ndiye kipa wangu bora AFCON Click to expand... Naunga mkono hoja yako
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 Feb 7, 2022 #3,635 Kila la heri Misri, tunawapenda
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,636 Kayoka said: Pole sana, ila kwa sisi watu wa Allah lazima tuseme hivyo. Click to expand... Unaanza kukwama mzee
Kayoka said: Pole sana, ila kwa sisi watu wa Allah lazima tuseme hivyo. Click to expand... Unaanza kukwama mzee
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,637 Wamisri wanajitahidi ku-buy time
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Feb 7, 2022 #3,638 Tusubiri sadakarawe tu sasa, hawa Senegal wameshindwaje kuweka magoli.
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,387 Reaction score 16,714 Feb 7, 2022 #3,639 Tanayzer said: Wakienda matuta leo, basi Senegal wanabeba ubingwa Click to expand... Labda tubane mbupu...
Tanayzer said: Wakienda matuta leo, basi Senegal wanabeba ubingwa Click to expand... Labda tubane mbupu...
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,295 Feb 7, 2022 Thread starter #3,640 Bado dakika 9 tushuhudie mikwaju ya penati