Fainali zilizopita ilipocheza Senegal na Algeria nilikuwa upande wa waarabu, leo tena anacheza Senegal na Mwarabu moyo wangu unatamani Senegal washinde japo mimi sio shabiki yao.
Ila mkuu ulikuwa una shabikia team la ajabu sana, Cameroon bila kubebwa hâta walipofika hawakustahili kabisa.