Jana nilivaa viatu vya Zimbabwe nikaviona vizito aisee.
Yaani unapambana mwishowe unapoteza game , ile iliwaumiza sana sababu kikawaida Senegal sio level yao kuwamudu kwa zaidi ya dkk 85 ujue walipambana hasa.
Afcon ya mwaka huu inafanana sana na World Cup ya 1990 iliyofanyika pale Italy, kulikuwa na uhaba mkubwa wa magoli na timu zilicheza kwa kujilinda zaidi!