Tatizo la timu za kaskazini Algeria,Morocco, Misri, Mali zinaonekana nzuri zikiwa humu humu ndani world zinatokaga Bila kuwa na point hapo ndo ninapokereka, Hawa black wanapambana Hilo, sasa huwa sielew kwanini wanakwama world cup kama huku wanakomaa hivyo
Tatizo la timu za kaskazini Algeria,Morocco, Misri, Mali zinaonekana nzuri zikiwa humu humu ndani world zinatokaga Bila kuwa na point hapo ndo ninapokereka, Hawa black wanapambana Hilo, das Huwa sielew kwanini
😂😂😂😂nashukuru nilihamia cameroon wamefanya ujinga kuanzia Leo Mimi ni msenegal mpaka jumapili baada ya hapo narudi zangu tz sio lazima sana nichukue ndoo Ila nikichukua itapendeza zaidi