Kauli za kibaguzi kuhusu Waarabu kwenye vibanda umiza na mitandaoni mpk nyingine zinavuka mpaka watu wanachuki vibaya mno kisa uarabu wao tu ,nikaona bora niwasapoti rasmi wanangu wa Egypt
Haters wote wanateseka sasa kwa ushindi huu , tukutane fainali panapo majaaliwa.
Liwalo na liwe. Maadamu Salah na Mane mmoja wao atanyanyua kwapa mie sijali. Nachofurahia ni wachezaji wa club nayo support wa/amepata mafanikio kwenye ngazi ya taifa.
Cc Kopites