Cameroon sjui njia aliyopitia ni rahisi au sjui nini?! Naona Egypt na Senegal hawakua title contenders, kelele nyingi zilikua kwa Algeria, Nigeria, Morocco na Tunisia.... Egypt na Senegal wamegain momentum taratibu kadri tournament ilivyokua inasogea,.. Cameroon sijaona km kapata challenge ya kutosha this time,nataka nimuone kesho kwa Pharaos then akipita nitamuona pia kwa Msenegali