Game bado ni 50/50 japo naona senegal wanafika zaidi langoni kwa burkina faso.Burkina faso anatakiwa kuongeza umakini zaidi hasa kwenye beki line yake pamoja na safu ya ushambuliaji.

Jamani mnaona huyo topsuba beki anapiga pasi za kwenda mbele tuu...sio beki kila mida unarudisha mpira kwa kipa.
Mabeki wetu wa bongo wajifunze kwa dogo huyo. Hi,o ndio standards za kucheza ulaya