Kwakweli mimi leo kati ya Burkna Faso na Senegal Mimi ni Burkna Faso kindaki ndaki ila sasa sioni leo wakitoboa jamaa hawa hivyo karata yangu inaenda Senegal
Tunakumbushana tuu Hawa Ni Burkina Faso Wapo Millioni 20 sisi ni Mara Tatu Yao, Juzi Serikali yao Imepinduliwa, Lakini Timu ya Taifa Ipo Nusu Fainali Afcon, Hakuna Rais Alieye watembelea wala kuwapigia simu
View attachment 2105739
Tunakumbushana tuu Hawa Ni Burkina Faso Wapo Millioni 20 sisi ni Mara Tatu Yao, Juzi Serikali yao Imepinduliwa, Lakini Timu ya Taifa Ipo Nusu Fainali Afcon, Hakuna Rais Alieye watembelea wala kuwapigia simu
LEo burkina faso anapita...aisee hii game bwana koulibalyh bonge la beki alafu huku upande wa pili napo kuna kijana centre back wa ukweli jersey no. 12. Wacha nione kama atanifurahisha huyu beki.