Hakuna cha figisu, wenzetu wametuzidi maarifa bwana, haya ya figisu yanatokea kwenye vijiwe vya kahawa, kwa mtu anaejuwa mpira hawezi kuwa na fikra za kipumbavu kama hizo eti fitina/figisu 🤣. Ukweli ni kwamba, bado kuna vimelea vya kibaguzi,,,, labda nikuorodheshee comments za kishenzi kutoka kwa wacojielewa na kujitambuwa 🤣
Angalia hapa,
View attachment 2101863View attachment 2101864View attachment 2101865View attachment 2101866View attachment 2101867View attachment 2101868View attachment 2101869View attachment 2101870View attachment 2101871View attachment 2101872View attachment 2101873View attachment 2101874View attachment 2101875
Kwa kile walichowafanyia Comoros natamani wapigwe tena nyingi tu.
Egypt waamechukua sana hili dude....naona bora wachukue Senegal tu.Iliniuma sana mkuu comoro kutolewa, nawaombea egypt wawatwange Cameroon, na ndoo ya 8 wachukuwe
Mtu kufarahia timu kudondoshwa tayari mbaguzi[emoji50][emoji50][emoji50] basi wacha tuwashabikie wote[emoji4][emoji4]Nilishakuambia hakuna cha figisu hapo, wenze2 wanajuwa mpira, co kama cc kelele nyingi ziczo na maana, na malalamiko na makasiriko kama yote. Ckiliza kijana, Kubali kataa umeonyesha ubaguzi, kwa maana huwapendi waarabu, endelea hivyo hivyo lakini huwapunguzii chochote kutoka kwao, bali unajishusha thamani, na hata kizazi kijacho kitafuata haya haya ubaguzi/malalamiko. Hapa nafikiria sana watoto wako watapata nini cha kujifunza kutoka kwako, very sad.
Kingine, cjalazimisha m2 afuate ama kushabikia asichopenda, hapa nakemea ubaguzi kijana.
Naendelea kukuwekea comments za kibaguzi, kwa maana bado kuna wapumbavu wacojielewa.
View attachment 2102473
Kwa sababu misri ipo kwao Egypt[emoji16][emoji16][emoji16]Kama Cameroon ni vidume kweli wawafanyie pia Egypt figisu kama walizowafanyia Comoros
We upo wapi [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Hivi Ivory Coast bado ipo? Maana hata sijafuatilia michuano duu
Mtu kufarahia timu kudondoshwa tayari mbaguzi[emoji50][emoji50][emoji50] basi wacha tuwashabikie wote[emoji4][emoji4]
Mkuu, Utiifu wake mtu na Unyenyekevu wake kwa Slave Master wake, hautafanya ale naye meza moja, Kamwe.Hapana, labda kama umeanzia kusoma njiani,ubaguzi bado upo. Naweza kusema waafrika ndio wanaongoza kwa ubaguzi duniani japo co wote. Kuna mijitu mipumbafu kweli kweli, inawachukia waarabu bila sababu ukiuliza sababu nini linakujibu kunya mammae.
UBAGUZI UNAWATESA SANA WATU WEUSI, ni wabaguzi wakupindukia aisee
Waarabu huwa michosho Sana, Ni kweli mpira wanaujua Ila mbinu zao za kupoteza muda huwa zinaboa Sana .
Waraabu ni too muchKupoteza muda ni kawaida, kwa faida ya timu,, hata wazungu wana hiyo kitu, huku kwetu pia ipo, refer mechi ya Tunisia na Burkina faso,,,Burkina walikuwa wanapoteza mda, na mda mwingi wakiguswa wanaanguka.
Waraabu ni too much
Waraabu ni too much
hayo yako wewe yawezekana ni matatizo ya akili, unawafahamu wa America ya kusini kwa kujitupa?
Kesho Na keshokutwaKwani bungi linafunguliwa lini?
Kiukweli walitia huruma. Ngoja tuone kitakachojiri hiyo kesho kutwaIliniuma sana mkuu comoro kutolewa, nawaombea egypt wawatwange Cameroon, na ndoo ya 8 wachukuwe
[emoji15][emoji15][emoji15]Kwa sababu misri ipo kwao Egypt[emoji16][emoji16][emoji16]