Huyu bwana mwaka ule bwana mafegi sarri yupo napoli ndio alikuwa at his peak...hatari!
Ile timu sitaisahau kabisa jamaa alitengeneza timu unapenda kuangalia mechi zake.
Midfield trio ya jorginho, hamsik na zielinski. Pembeni yupo insigne calejon alafu kati mzee mwenyewe mertens...ukisikia napoli anacheza unasahau ata suala la kwenda kugeggeda. Timu haikushinda scudetto but it certainly kept us entertained.