Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,481 Tunisia wanataka kubebwa huko. Bora Refa amekuwa Fair..
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,482 Jamaa ame clear mpira lakini watu wa VAR sijui ni Waarabu...
Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,865 Reaction score 2,205 Jan 29, 2022 #2,483 Marco Polo said: Kumbe Bado mapema hivyo, ngoma droo hii inaenda matuta na waarabu tunapita. Click to expand... Itapendeza tunisia wakipita wakutane na mwenyeji, timu kubwa kama hiyo itatolewaje na katimu kakipumbavu 😀 ni aibu kwa sisi watunisia 😀
Marco Polo said: Kumbe Bado mapema hivyo, ngoma droo hii inaenda matuta na waarabu tunapita. Click to expand... Itapendeza tunisia wakipita wakutane na mwenyeji, timu kubwa kama hiyo itatolewaje na katimu kakipumbavu 😀 ni aibu kwa sisi watunisia 😀
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Jan 29, 2022 #2,484 Huyu refa amezoea kutumia VAR
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,485 Anaweza kupewa Red huyo dogo aliyefunga goli.
Muhitimu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2022 Posts 252 Reaction score 251 Jan 29, 2022 #2,486 Euphrates said: Itapendeza tunisia wakipita wakutane na mwenyeji, timu kubwa kama hiyo itatolewaje na katimu kakipumbavu 😀 ni aibu kwa sisi watunisia 😀 Click to expand... Wakipita Burkina Fasso unadhani mwenyeji lazima atinge fainali hata kwa mbeleko?
Euphrates said: Itapendeza tunisia wakipita wakutane na mwenyeji, timu kubwa kama hiyo itatolewaje na katimu kakipumbavu 😀 ni aibu kwa sisi watunisia 😀 Click to expand... Wakipita Burkina Fasso unadhani mwenyeji lazima atinge fainali hata kwa mbeleko?
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,488 Hardlife said: Anaweza kupewa Red huyo dogo aliyefunga goli. Click to expand... Nimesema hapo juu
Muhitimu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2022 Posts 252 Reaction score 251 Jan 29, 2022 #2,489 mtzedi said: Huyu refa amezoea kutumia VAR Click to expand... Anatafuta mbeleko ya kumbeba mwarabu
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,410 Reaction score 4,841 Jan 29, 2022 #2,490 Hardlife said: Anaweza kupewa Red huyo dogo aliyefunga goli. Click to expand... Kala umeme
Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,865 Reaction score 2,205 Jan 29, 2022 #2,491 mtzedi said: Red Click to expand... Safi
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,410 Reaction score 4,841 Jan 29, 2022 #2,492 Muda huu Burkinabe walinde goli tu
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,493 Suchack said: Kala umeme Click to expand... Mie mchezaji anayecheza foul za kipumbavu kama hizo sijawahi kumuonea huruma. Ni hatari sana kwa opponent. Sijui kwanini wanajisahau kuwa kuna VAR?
Suchack said: Kala umeme Click to expand... Mie mchezaji anayecheza foul za kipumbavu kama hizo sijawahi kumuonea huruma. Ni hatari sana kwa opponent. Sijui kwanini wanajisahau kuwa kuna VAR?
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Jan 29, 2022 #2,494 Hizi Dak 10 Burkinabe wanatoboa cha muhumu wakaze kende
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,495 Jamaa anaweza igharimu timu.
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,410 Reaction score 4,841 Jan 29, 2022 #2,496 Huyu refa anawenge sana kadi ya nini tena nje huko
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Jan 29, 2022 #2,497 Lina rudi goli hilo
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,410 Reaction score 4,841 Jan 29, 2022 #2,498 Hardlife said: Lina rudi goli hilo Click to expand... Dk 4
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Jan 29, 2022 #2,499 Madogo wako bull bull..
Robin20 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2021 Posts 603 Reaction score 593 Jan 29, 2022 #2,500 Suchack said: Huyu refa anawenge sana kadi ya nini tena nje huko Click to expand...