Ujue Hamna Nchi Yenye Amani Inayoshiriki AFCON
Tanzania Tujitafakari, Hawa Ethiopia Kila Siku Wanapigana lakini wapo AFCON, Burkina Faso Ndio Wamechoka Lakini Wapo AFCON.
Tanzania Amani Haitusaidii, Ni Lazima CCM iondoke Ili Tushiriki Michuano Kama Hii, Kwasababu CCM haiwezi Kuondoka Kwa Amani
Tunzenk Hii comment, Siku Pakichafuka Tanzania Tutashiriki Michuano Kama Hii