Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,930
Wana kikosi kizuri naamini wataleta ushindani mzuriSenegal tujuane hapa
Ahsante mkuu, wakati naingia hapa nilikuwa nawaza kama ushapandisha uzi. Nisingeuona ningekutag uupandishe.Michuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu.
Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu ya Covid-19 ikahairishwa. Hivyo inafanyika mwaka huu ila ina jina la mwaka jana.
Mwenyeji wa michuano hii ni Cameroon, huku Algeria akiwa ni bingwa mtetezi!
Jumla ya timu 24 zitapambana kutafuta bingwa mpya katika michuano itakayifanyika katika majiji matano yenye viwanja sita ndani ya Cameroon.
Mechi hizo zitakuwa live kupitia ving'amuzi vya Dstv, Star times, Canal.
Wale wadau wa kustream basi pitieni hesgoal.com
Hivyo, kwa updates zote za michuano hiyo utakuwa unazipata kwenye uzi huu karibu sana mwanamichezo!
View attachment 2073241
Pamoja sana mkuu, tusubiri michuano ianze tuanze soga zetu hapa, anyway upo timu gani?Ahsante mkuu, wakati naingia hapa nilikuwa nawaza kama ushapandisha uzi. Nisingeuona ningekutag uupandishe.
Nipo Dakar mkuu, mitaa ya akina Alliou CissePamoja sana mkuu, tusubiri michuano ianze tuanze soga zetu hapa, anyway upo timu gani?
Mie npo Algeria kwa akina MahrezNipo Dakar mkuu, mitaa ya akina Alliou Cisse
sMechi zote 52 kupitia Azam TV channel za UTV na ZBC2View attachment 2073432
Wapi timu za Afrika Mashariki?Michuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu.
Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu ya Covid-19 ikahairishwa. Hivyo inafanyika mwaka huu ila ina jina la mwaka jana.
Mwenyeji wa michuano hii ni Cameroon, huku Algeria akiwa ni bingwa mtetezi!
Jumla ya timu 24 zitapambana kutafuta bingwa mpya katika michuano itakayifanyika katika majiji matano yenye viwanja sita ndani ya Cameroon.
Mechi hizo zitakuwa live kupitia ving'amuzi vya Dstv, Star times, Canal.
Wale wadau wa kustream basi pitieni hesgoal.com
Hivyo, kwa updates zote za michuano hiyo utakuwa unazipata kwenye uzi huu karibu sana mwanamichezo!
View attachment 2073241
Wazifanye hizo chaneli HD ili watu wapatr uhondo vizuri kwenye TV za kisasaMechi zote 52 kupitia Azam TV channel za UTV na ZBC2View attachment 2073432
Baada ya kufuzu kwa kubahatisha michuano ya mwaka 2019 safari hii hawapoWapi timu za Afrika Mashariki?
Black StarsTeam GHANA
Mwanangu partey[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sawa mkuu tusubiri kipenga kipulizweMie npo Algeria kwa akina Mahrez