2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

KIGOMA mtu asicheze nayo - barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma ni jehanamu (sisi tutaendelea kumwombea kijana wetu Mondi ili afike mbali) Lkn wanaotufanya tule mwaka mpya wa 2020 bila kulipwa fedha za pamba tutawawajibisha, wanaofukuza watoto wetu vyuo vikuu tutawajibu,

Inshort kigoma hakuna zuzu
 
Aisee hamuishi uongo...Diamond na ubunge wapi na wapi?

Ila jana kitu alichokifanya cha kuwafanyia kampeni CCM wazi wazi inaweza ikaikosti carier yake iwapo chama dola kikiwa upinzani pia baadhi ya mashabiki wake ambao sio mbogamboga washamshusha.
Diamond ameandaliwa Jimbo la Zitto Kabwe akamtoe pale ujiji,eti kwa vile ana ushawishi mkubwa kwa vijana na akina mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu tutashuhudia tena mashindano na tambo za kufuturisha kwenye Ramadan, miaka inaenda kasi sana tulishakumbuka zile futari.... mwaka wa neema kwetu wanyonge.
 
Huyo ni Rais, Ana wajibu wa kuwalea wasanii wa Tanzania. Naye Diamond kupigiwa simu na Mh Rais si kitu kidogo, hatumlaumu kwa kupandisha mzuka!
 
Kauli hii kama yatoka kwa watu wa Kigoma basi CCM inajichimbia kaburi tuu bila kujielewa.
Diamond hana kosa maana yeye anatengeneza brand yake shida hao wadandiaji! Chama kongwe linadandia matamasha ya "watoto" usiku ili kupata kiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa maridhiano nakutakia mwaka 2020 wenye afya njema na mafanikio kwa kila utakalolifanya.
 
Naona imekuuma sana mkuu!! Pole kunywa maji upunguze stress zako.
 
Kwa ufupi DIAMOND ni adui yenu!
 
Vijana hawana ajira halafu CCM inawatengenezea movie za kijinga
 

Adhabu ya wasanii kama hawa ni kuacha kusikiliza miziki yao ili kuwatia njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…