Rasilimali zikilindwa halafu nazidi kuishi kama mbwa duniani bora ziibwe tu kwa maana zinalindwa na vitu vinafanyika ambayo sina faida navyo... Me huku masasi tapanda ndege naenda wapi na kwa hela ipiJamani tulikuwa tunalia usiku na mchana kuwa tunahitaji rais mkali mzalendo, mwenye maamuzi magumu, mwenye kulinda raslimali za nchi kwa nguvu yoyote ile; tukampata jpm hala mnambeza tena, ' maskini haridhiki' ngoja waje hao tunaowataka nao tuwaone
Huyu mkali alafu mshambaJamani tulikuwa tunalia usiku na mchana kuwa tunahitaji rais mkali mzalendo, mwenye maamuzi magumu, mwenye kulinda raslimali za nchi kwa nguvu yoyote ile; tukampata jpm hala mnambeza tena, ' maskini haridhiki' ngoja waje hao tunaowataka nao tuwaone
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwa kweli ndo vile tu hakuna namnaHakika mkuuu jiwe nimemchoka atakumuona kwenye tv anakera aanatengeneza matatizo et anakuja kuya solve mwenyewe tena
Kwakweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hakika mkuu Mungu muweza yote afanyeje jambo hapa ampende zaidi mja wake
Hiyo inaitwa hero syndrome kuja jamaa kaeleza vizuri sana juu ya hiliHakika mkuuu jiwe nimemchoka atakumuona kwenye tv anakera aanatengeneza matatizo et anakuja kuya solve mwenyewe tena