2020 Lazima Nipige Kura Upinzani

2020 Lazima Nipige Kura Upinzani

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,282
Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu.

Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao.

Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
 
Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
Hata kama utapigia ng'ombe Rais ni Magufuli fullstop.
 
Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
Ndugu, baada ya Chadema kuwapa raha watanzania leo naona morali imeamka mara 100. Lazima tupige kura mwaka huu kumuondoa huyu Mkoloni mweusi CCM
 
Uchaguzi wa mwaka huu jiwe na lisu patamu!!
 
Nitafunga safari ya 12,400km kwa moyo mkunjufu ili tu nimpigie kura kipenzi cha wengi Tundu Lissu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tangu paaanzishwe vyama vingi Tanzania mtu wa kwanza kuisumbua CCm kwenye uchaguzi alikuwa Augstine Mrema akafuatiwa kwa mbaali na Lowassa Edward na ndio ulikuwa mwisho,baada ya Lowassa hakuna KIAZI yeyote atakayeweza kusimama na Raisi JPM tukutane Oct muone mtakavyopoteana,Tanzania ya sasa siyo ile miaka saba iliyopita ngojeeni kwanza tujenge Nchi na Mh JPM..
 
Kura zikihesabiwa hadharani Mkuu maccm yatakabidhi Nchi. Na maccm wengi hayatampigia kura huyo yesu fake.

Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu.

Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao.

Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
 
October mapema kabisa naenda kijijini kwetu kumchinja ccm
 
Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu.

Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao.

Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
Hakika, Mimi binafsi na familia yangu nimepitia magumu sana ndani ya utawala huu. Leo nina furaha sana, CDM toeni accounts za kuchangia fedha za kampeni nianze kuweka hela usiku huu.
 
Back
Top Bottom