2020 Dr. Magufuli kusoma Urais

Shida iko vijijini hawana smartphone, labda kama wakibomolewa wanaweza kuwa na akili kidogo hata ya kuvukia barabara.
 
Katiba mpya Kwa ccm ni sawa na kumpa mwizi paspowrd ya bank,au simu.
 
Dah.... Halafu asipogombea tumchague nani sasa? Acha ujinga bana......[emoji87]
 
Tukiacha kuibadilisha gia angani itawezekana
 
Magufuli miaka 23 YA urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…