Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
wanyonge ni wale tu wanaotoka kanda maalumu.Kipenzi cha wanyonge gani au wale wa Kimara wanaolala nje waliobomolewa nyumba zao.
Nao acha walale nje kwa nn wajenge kwenye hifadhi?kama wana akili wakalale kwa mnyika au kubenea si ndo viongozi waoKipenzi cha wanyonge gani au wale wa Kimara wanaolala nje waliobomolewa nyumba zao.
Nazan 2025 utakuwa ndo muda sahihi wa kumpumzisha.
2020 tumwache aendelee tu.
chama kipo ujiji tu halafu unaota kumshinda mgombea wa ccm2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS

Baelezea nyumbu hawa. Nchi haitolewi kwenda UPINZANI kwa kuchonga domo JF nendeni Namtumbo, Sapiwi, Kibaoni ambako ccm hupataga 100% ndiyo tutawaelewa.Chama Kipi kitamtoa madarakani??
Nani atamtoa madarakani??
Wakurugenzi ndio wasimamizi wa Uchaguzi,wakurugenzi ni wanachama makada wa ccm,jumlisha na kutoa utapata jibu sahihi.....
Mnadai tume huru kwenye social media,Odinga alidai tume huru kwa maandamano na bado hakuipata tume iliyo huru mpaka leo analalamika tuu.....mkae mkijua tume huru haiombwi Afrika,tume huru inapiganiwa Afrika.
Chama chenu hakijulikani vijijini ambako ccm hupataga za kutosha dhidi ya wale ambao kura hazikutosha. Kwa taarifa yako Tanzania ina u kubwa wa square km0.9 milioni ccm ina mabalozi kila shina. Upinzani mna nini. Acheni kujaza server ya JF kwa uharo wenu
Ni ndoto tena ya mchana Rais Magufuli kushindwa 2020!! Kwa upinzani upi?? Huu wa kina Mbowe na Zitto?? Au mnasubiri wakina Nape au Membe wakitoka CCM ndiyo wamtoe Magufuli???2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Hahahaa...NIMETOKA BAN LEO...
Naogopa hata kutia neno hapa.Maana kwa sasa sina imani na mods na uongozi wa JF nahisi wako upande wa pili
Mwaka 2020 anarudi ikulu kwa sababu kura zilishapigwa mapema na kile kikundi cha January makamba na tume za uchaguzi zipo kwenye makabati wanasubiri kutangaza tu, hatachaguliwa na wananchi bali uchakachuaji ndiyo utamrejesha ikulu.2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Hakuna shida na Lugha kwani wazungu hilo huwa hakiwapi shida, Tatizo ni kuminya Demokrasia kuwafanya watanzania kuishi kama mashetaniIla naona dharau ya wazi iliyofanywa na M7 kule Uganda wakati wa press yao na waandishi wa habari.
Huu uliofanywa na M7 ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa rais wetu. Naamini M7 anajua kabisa kuwa Rais wetu Lugha za nje ya Tz zinampa shida, ni kwa nini aliruhusu maswali mengine yaulizwe kwa Lugha za kigeni?????????????.