2020 CCM inafutika na kubaki historia

bandiko lako hili lazima una matatizo, kwa akili yako unaamini cdm wakienda kuiba watakwenda na bendera yao halafu kabla hawajaiba polisi waje halafu wakimbie waache kila kitu hapo, mbona pikipiki namba haisomeki? kwa ufupi umri umeenda acha utoto.
Mkuu haya mambo unaweza hata kucheka nina mwanangu ana miaka 4 hawezi kuamini ujinga wa kiwango hichi
 
Kwa upinzani huu uliopo, Magufuli akikaa home akapiga kampeni kwa redio, TV, akachapisha vipeperushi anashinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuombe uzima mkuu kampeni siku 72 ataomba poooh maana kwa hasira alizonazo na watu walivyorundika hoja.......
 
mnapokuwa na majina mazuri mazuri ya ID zenu humu, muwe na title realiastic pia!

mkiwa na title kama zetu hizi, au ID kama fala, jinga, kiroboto, emptybrain.....ndio hata title unaweza kuandika zozote zile

kikubwa kuwa realistic!..acha mahaba, chama ikongwe hakiwezi kufa miaka 3 ijayo!!


uchaguzi haukuwa wa ushindani, haukuwa na msisimko....
 

Siasa ni mchezo sawa na michezo mingine na dhana yake kuu ni ushindani. Lakini ushindi hupatikana tu chini ya uongozi bora. Tatizo la upimzani kwa ujumla wake, ni ubinafsi wa viongozi wao wa kungang’ania madaraka bila kijali uwezo wao wa kuongoza. Hili ndilo shimo la vyama vya upinzani nchini. Wanaokimbia, hii ndiyo sababu kuu ya wao kivihama vyama hivyo. Na sio kununuliwa kama tunavyotakiwa tuamini.
 
Namekuelewa mkuu ila unadhani CCM na mwenyekiti wao huu mchezo wanaucheza inavyotakiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…