2019 na kuzisoma namba

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
kiukweli namshukuru mwenyezi mungu kuniwezesha kuuona mwaka lakini kila nikikumbuka kuwa bado kuna namba natakiwa niendelee kuzisoma naishiwa pozi .

Jamani mliopewa dhamana ya kutuongoza angalieni namna ya kutulegezea vyuma angalau kwa huu mwaka 2019
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu,ni vema ukajiongeza kutafta njia mubadala ambazo zitapelekea vyuma vyako kulegea kuliko kusubiri kulegezewa na watawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiukweli kwa mwaka 2018 kila njia mbadala ikipatikana inazuiwa na matamko kutoka juuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…