2019 Mercedes S Class

Tecnology ni audi mzee chunguza vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sijawahi kuona live
Huwa nafuatilia kwenye Tv tu mkuu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Okay. Nafikiri ni bonge la experience kuangalia vile vigari. Sijui kama South Africa kuna hiyo race track. Najua kuliwahi kuwa na dereva kutoka huko.
 
Zitafika Bongo kwetu hizi gari kweli? Hiyo feature ya taa safi sana aise. Inasaidia saana usiku. Volvo wanakuja kwa kasi ya ajabu.
 
Yes, lazima viwandani mafuta yatatumika tuu. Japo watakuwa affected saana. Maana magari yanayatumia kwa kiwango kikubwa saana. China very soon watawafunika wazungu kwenye karibu kila kitu kiuchumi.
 
Hahaha hili la soko lao la mafuta kuyumba ni swala la muda tu! Wakifikia efficiency hio hizo gari zitakuwa so convenient. Walau gari iweze kukamilisha 1000 km in a single charge which takes less than 30 mins.
Yes. Unacharge Mwanza, then jioni ukiwa Moro unacharge ya kumaliza kipande cha Moro Dsm. Itakuwa poa saana.
 
Hehehee, mpaka Range Rover. Kuna hybrid moja niliona wanaitangaza.
 
Nitaitafuta hii Benz EQC4 niifahamu aise. Tesla wakipata mshindani wa maana bei zake zitashuka. Maana kwa sasa mmmh, sio gari za watu wa kawaida.
 
Okay. Nafikiri ni bonge la experience kuangalia vile vigari. Sijui kama South Africa kuna hiyo race track. Najua kuliwahi kuwa na dereva kutoka huko.
Nafuatilia sana na ninamkubali Lewis Hamilton
Mtoto alianza na miaka 5 mpaka kuwa champion

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nafuatilia sana na ninamkubali Lewis Hamilton
Mtoto alianza na miaka 5 mpaka kuwa champion

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yes, jamaa kwa kweli amepambana sana. Mwaka huu naona ameanza vizuri. Anaweza kuchukua tena kama asipozingua hapo mbele.
 
Zitafika Bongo kwetu hizi gari kweli? Hiyo feature ya taa safi sana aise. Inasaidia saana usiku. Volvo wanakuja kwa kasi ya ajabu.
Kidogo ni ngumu kuielewa lakini ukiishazoea haina shida kabisa na hiyo infotainment yake ni nzuri
Ila huko zikija kwanza lazima wawepo mafundi waliosomea na kujifunza system zake
Mkuu najua kila kitu ni compiter inakuambia kama ni faulty lakini hao ni engeneer sasa sio mechanics tena ama?
Maana vitu vingi vinakuja kama standard kwa ushindani

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hehehee, mpaka Range Rover. Kuna hybrid moja niliona wanaitangaza.
Unajua miaka 100 iliyopita magari ya umeme yalitengenezwa na yalikuwepo ila biashara ya mafuta ilipoanza tu wakaona huko ndio kwenye faida zaida
Wakaamua kuzima kabisa hayo magari
Na sasa wameona waanzishe tena hii biashara
Yaani hawa wazungu watatupelekesha mpaka kiama kinaingia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…