Siyo kwamba watz hawaipendi taifa stars , ila TFF wamekosea sana kuruhusu wanasiasa katika timu ya taifaView attachment 1130345
View attachment 1130346
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inatazamiwa kuanza kutimua vumbi ijumaa tarehe 21/06/2019 kwa mechi kati ya wenyeji Egypt dhidi ya Zimbabwe
Michuano hiyo itahusisha mataifa 24 ambayo yamegawanywa katika makundi 6, kila kundi likiwa na timu 4
Tanzania imefanikiwa kufuzu kwenye mashindano hayo kwa mara ya pili katika historia yake, mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1980 na imepangwa katika kundi C
Mara ya mwisho mashindano haya yalifanyika 2017 nchini Gabon ambapo Cameroon walifanikiwa kuchukua kombe baada ya kuifunga Egypt kwa magoli 2 -1 katika mechi ya fainali
Je nchi gani unaipa nafasi ya kuchukua kombe hilo?
Nini matumaini ya Tanzania kwenye mashindano hayo?
Tutakuwa tunatumia mada hii kuhabarishana tukielekea kwenye ufunguzi wa mashindano hayo, yanayojiri wakati wa mechi, matokeo na matukio yote yanayohusiana na mashindano hayo
UPDATES
Ratiba 21/06/2019: Egypt vs Zimbabwe
Matokeo: Egypt 1 - 0 Zimbabwe
Ratiba 22/06/2019: Congo vs Uganda | Nigeria vs Burundi | Guinea vs Madagascar
Matokeo: Congo 0 - 2 Uganda
Nigeria 1 - 0 Burundi
Guinea 2 - 2 Madagascar
Ratiba 23/06/2019: Morocco vs Namibia | Tanzania vs Senegal | Kenya vs Algeria
Matokeo: Morocco 1 - 0 Namibia | Tanzania 0 - 2 Senegal | Kenya 0 - 2 Algeria
Ratiba 24/06/2019: Ivory Coast vs South Africa | Tunisia vs Angola | Mali vs Mauritania
Matokeo: Ivory Coast 1 - 0 South Africa | Tunisia 1 - 1 Angola | Mali 4 - 1 Mauritania
Ratiba 25/06/2019: Cameroon vs Guinea Bissau | Ghana vs Benin
Matokeo: Cameroon 2 - 0 Guinea Bissau | Ghana 2 - 2 Benin
Ratiba 26/06/2019: Nigeria vs Guinea | Uganda vs Zimbabwe | Egypt vs Congo
Matokeo: Nigeria 1 - 0 Guinea | Uganda 1 - 1 Zimbabwe | Egypt 2 - 0 Congo
Ratiba 27/06/2019: Madagascar vs Burundi | Senegal vs Algeria | Tanzania vs Kenya
Matokeo: Madagascar 1 - 0 Burundi | Senegal 0 - 1 Algeria | Tanzania 2 - 3 Kenya
Mi hata kabla ya michuano nilijua tz itaenda kutalii tuDaah! Hatimaye tumeshatimiza malengo ya kushiriki AFCON.
Kwa mbaali nilijutia usingizi wangu wa jana kukaa macho mpaka saa saba na mwishowe kuambulia kichapo.
Noma sana mkuu
Na wewe ndio timu zako nini Mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah! Afadhali uliyajua hayo mapema mimi niliweka matumaini mechi ya jana kwamba ingetutoa kimasomaso ila kwa kuwa ilikuwa kinyume basi hapa najua ndio ishatoka kwani kwa Algeria hatuambulii kitu pale.Mi hata kabla ya michuano nilijua tz itaenda kutalii tu
Haitashinda mechi hata moja , kwahiyo hata Sina presha
Ila kitendo cha kushiriki ile michuano baada ya miongo karibia 4 ni ushindi mkubwa kwetu ila wakati wetu wa kufanya vyema haupo mbali.Daah! Afadhali uliyajua hayo mapema mimi niliweka matumaini mechi ya jana kwamba ingetutoa kimasomaso ila kwa kuwa ilikuwa kinyume basi hapa najua ndio ishatoka kwani kwa Algeria hatuambulii kitu pale.
Ila kitendo cha kushiriki ile michuano baada ya miongo karibia 4 ni ushindi mkubwa kwetu ila wakati wetu wa kufanya vyema haupo mbali.
Na kweli Mkuu japo tuombee kufanikiwa tena kushiriki safari ijayo kwani nje ya hapo ikapita miaka zaidi ya kumi basi tukija kushiriki tutaanza tena upyaaa.Ila kitendo cha kushiriki ile michuano baada ya miongo karibia 4 ni ushindi mkubwa kwetu ila wakati wetu wa kufanya vyema haupo mbali.
😀😀😀😀😀😀😀😀
Tim hiii ya CCM!!!!!!!
😀😀😀😀
Hahahaaaa. Msameheni bana best maana kajua kuwaudhi sana.Msikilize Makonda!
Sina la kufunguka ndugu ni katika kuunganisha tu dots hebu fungua ile press unaona mtu anaongea lakini hayupo pale sijui labda sio navyowazia mimi ila kuna watu wameingia 18, kina nani sijui... siasa mbayaFunguka mkuu
Hahahaaaa. Msameheni bana best maana kajua kuwaudhi sana.
Poleni maana naona wana CDM wote mumeichukia Taifa Stars kisa hiyo Clip. Lol
Pale tutapigwa tanoDaah! Afadhali uliyajua hayo mapema mimi niliweka matumaini mechi ya jana kwamba ingetutoa kimasomaso ila kwa kuwa ilikuwa kinyume basi hapa najua ndio ishatoka kwani kwa Algeria hatuambulii kitu pale.
Ana mambo ya ajabu sana huyo jamaa alissema Taifa stars itashinda kama CCM inavyoshindanga nikajiuliza CCM huwa inashinda au inaiba,nilitegemea kuona mikakati ya kuiba magoli jana lakini sikuona kitu labda alimkosa Jecha.Hahahaaaa. Msameheni bana best maana kajua kuwaudhi sana.
Poleni maana naona wana CDM wote mumeichukia Taifa Stars kisa hiyo Clip. Lol
Mimi za Kwangu ni Senegal na Algeria mkuuNa wewe ndio timu zako nini Mkuu?
Ile mechi iliamuliwa ikulu kwa ikulu mkuu nyie hamna uwezo wa kuifunga ugandaIla kitendo cha kushiriki ile michuano baada ya miongo karibia 4 ni ushindi mkubwa kwetu ila wakati wetu wa kufanya vyema haupo mbali.
Nataka wale mkonoALGERIA........ALGERIA.....ALGERIA Msilete Upumbavu kama wa Senegal kuwaonea huruma hawa CCM...........Nahitaji kipigo heavyweight
Nani kakudanganya?Ile mechi iliamuliwa ikulu kwa ikulu mkuu nyie hamna uwezo wa kuifunga uganda