KIM JOHN UN
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 744
- 1,075
mkuu badilisha kidogo hapo kwenye kichwa cha habari weeding ielewekeKama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss
Itakumbukwa kwamba event kama hii ilitokea tena kunako mwaka 2011 pale ambapo mtoto wa kwanza wa Prince Charles aitwae Prince William alifunga harusi ya karne na kipenzi chake Princess Catherine Middleton kunako kasri la Backnghum Palace lakini harusi hii ilifungwa katika kanisa la Cantibury na kwa kweli wawili hawa waliutingisha ulimwengu baada ya ile harusi ya baba yao iliyofungwa mwaka 1988.
Kwa maana hiyo napenda kuwatanabarisha kuwa kesho nitawaleteeni moja kwa moja hii live coverage ya Royal weeding of British empire kati ya Prince Harry na Meghan Markle kutoka hapa WINDSOR CASTLE - London kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa Tisa mchana (10.00 am to 03.00pm (BST)
KIM JOHN UN
WINDSOR CASTLE-LONDON
Kupalilia; kung'oa magugu shambani, bustanini, n.k. Palizi la kifalme. Ha ha ha!ila kaka mkubwa weeding inamaanisha nn?
nlijua ni marijuana dayKupalilia; kung'oa magugu shambani, bustanini, n.k. Palizi la kifalme. Ha ha ha!
kama namiona! shiiiiiiiiiiiii........ Heeeeeee.....! Kusmoke ni weed!nlijua ni marijuana day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupalilia; kung'oa magugu shambani, bustanini, n.k. Palizi la kifalme. Ha ha ha!
Mkuu harusi ya William na Kate ilifanyika Westminster Abbey ni mfungishaji ndiyo alikuwa Archbishop wa CanterburyKama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss
Itakumbukwa kwamba event kama hii ilitokea tena kunako mwaka 2011 pale ambapo mtoto wa kwanza wa Prince Charles aitwae Prince William alifunga harusi ya karne na kipenzi chake Princess Catherine Middleton kunako kasri la Backnghum Palace lakini harusi hii ilifungwa katika kanisa la Cantibury na kwa kweli wawili hawa waliutingisha ulimwengu baada ya ile harusi ya baba yao iliyofungwa mwaka 1988.
Kwa maana hiyo napenda kuwatanabarisha kuwa kesho nitawaleteeni moja kwa moja hii live coverage ya Royal weeding of British empire kati ya Prince Harry na Meghan Markle kutoka hapa WINDSOR CASTLE - London kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa Tisa mchana (10.00 am to 03.00pm (BST)
KIM JOHN UN
WINDSOR CASTLE-LONDON
Charles (baba yao na hao vijana) hakufunga ndoa 1988 bali 1981. Rekebisha taarifa zako.Kama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss