Hata Dems kulikuwa na makandokando yake. Naamini hujasahau emails za Wakubwa wa Dem zikimpendelea Hillary.platozoom, kumbuka kwenye primary mtu yeyote anaweza kupiga kura hata wasio wanachama. Yawezekana waliokuwa wanampigia kura hawakuwa hata GOP ila walitaka apite wapate mteremko.
Hata huko kwa DEMS mambo yalikuwa hayo hayo. Wengi waliompigia Sanders hawakuwa wanachama. Bahati nzuri au mbaya viongozi wa DEMS walikuwa wajanja.
Hawa watu wa dini wa ajabu sana, acha watu wengi waamue kususa kwenda makanisani na wengine wakitafutia dini nyingine. Ni bora hata wangekaa kimya kuliko kudai wanamuunga mkono huyu maniac.
Walimhoji Jerry Falwell juzi, baada ya ile tape kutoka kuona kama bado anam support Trump. Pamoja na title yake (President) of a christian university sikuamini vile Falwell alimtetea Trump even after he made those lewd comments. Halafu hata wale pastors wa mega churches wanaom support sijaona wamesema chochote hata baada ya hawa wanawake kutokea.
Walimhoji Jerry Falwell juzi, baada ya ile tape kutoka kuona kama bado anam support Trump. Pamoja na title yake (President) of a christian university sikuamini vile Falwell alimtetea Trump even after he made those lewd comments. Halafu hata wale pastors wa mega churches wanaom support sijaona wamesema chochote hata baada ya hawa wanawake kutokea.
Unafiki wa watu kama hawa wanaojifanya watu wa dini sana ndiyo unawafanya wengi wajiulize
maswali ambayo hawapati majibu na kuamua kuachana na dini au kutafuta dini tofauti.
Hao watu wa dini nao wanafiki tu. We mtu wa dini utam support vipi mtu womanizer kama Trump?
Very stupid america and the world these allegations to Donald Trump compared to what affects the countries economic crisis, social crisis. Trump speaks about restoring America to its peak by stopping wars around the world that have resulted to economic debts of trillions of dollars, getting rid of gun violence while the other party Hilary Clinton speaks of new strategies of war around the world that will result in more economic debt of the country is seen as the right full person to consider as president, the world has a very thick brain to compare the two at an economic perspective.Mwangalieni huyu mpayukaji mwingine, hovyooo!
Kwenye kazi za white house na kushika skati za hao madada ambao hatui kama walikuwa malaya miaka hiyo au walivaa provocative miaka hiyo au wamelipwa na Hilary kumchafua Trump.Hao watu wa dini nao wanafiki tu. We mtu wa dini utam support vipi mtu womanizer kama Trump?
Very stupid america and the world these allegations to Donald Trump compared to what affects the countries economic crisis, social crisis. Trump speaks about restoring America to its peak by stopping wars around the world that have resulted to economic debts of trillions of dollars, getting rid of gun violence while the other party Hilary Clinton speaks of new strategies of war around the world that will result in more economic debt of the country is seen as the right full person to consider as president, the world has a very thick brain to compare the two at an economic perspective.
I thought ungekuja na point za ku crush nilichoandika unaniletea maelezo ambayo inaonekana hauna cha kujibu zaidi ya mipasho ya akili yako finyuWewe mwana2015, hii mijadala ya kimataifa ni wazi inakuzidi kimo na heri ungejikita katika siasa za bongo. Huu ni ushauri tu, hutaki unaacha.
I thought ungekuja na point za ku crush nilichoandika unaniletea maelezo ambayo inaonekana hauna cha kujibu zaidi ya mipasho ya akili yako finyu
Umeshindwa ku argue point you're going for an easy way out, haya kapumzishe akili yako hiyo!Sawa umeshinda, Nina akili finyu...satisfied?
Umeshindwa ku argue point you're going for an easy way out, haya kapumzishe akili yako hiyo!
Wewe mwana2015, hii mijadala ya kimataifa ni wazi inakuzidi kimo na heri ungejikita katika siasa za bongo. Huu ni ushauri tu, hutaki unaacha.
Argue? Argue with who? Sorry, I cannot take that chance...people may fail to notice the difference. Bye [emoji112]