2015 uwe mwisho wa CCM kunusuru tembo wetu

2015 uwe mwisho wa CCM kunusuru tembo wetu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
Wanajamvi kwa kasi hii ya kuuwawa wastani tembo watatu kwa siku(tembo zaidi ya elfu moja kwa mwaka) ni dhahiri hii serikali ya CCM ipo nyuma ya hili na hakuna mtu mwenye akili timam atakubali kwamba hii serikali haihusiki. Mbaya zaidi hii ni kwa ndovu zinazoonekana achilia mbali rasilimali zingine zinazoibwa bila sisi kujua,hivi unawezaje kuwa baba wa familia na bado ukawa unaiibia familia yako mwenyewe? Kwa kweli inatia uchungu sana na tuombe sana Mungu atusaidie kweli 2015 uwe mwisho wa wezi wote wa nchi hii... Kwa Mungu hakuna kitu kinashindikana
 
kuna aina ya ndege nasikia wameshatoweka.
kule lake eyasi kuna ndege ambao hawapo sehemu yoyote duniani nasikia ni dilli kuliko hata tembo nao hawaonekani tena.
e
 
kuna aina ya ndege nasikia wameshatoweka.
kule lake eyasi kuna ndege ambao hawapo sehemu yoyote duniani nasikia ni dilli kuliko hata tembo nao hawaonekani tena.
e
Na vingine vingi tusivyovijua...inauma sana
 
umenena kweli tupu mkuu,ni lazima tuhakikishe hiki chama cha majangili (ccm) tunakiondoa madarakani 2015 kwa usalama wa tembo wetu.
 
Back
Top Bottom