..CCM wakimsimamisha huyu mama, na CDM wakamsimamisha Zitto, basi ushindi unakwenda kwa CCM.
..wale wana CCM kama Salim Salim, na Joseph Warioba, wanaompa kichwa Zitto Kabwe, wote watamkimbia siku akipambanishwa na Dr. Migiro.
..wananchi CDM wanafanya makosa kum-underestimate huyu mama. In my opinion she has the capacity to come across as more seasoned, reasonable, and articulate, than Zitto Kabwe.
..hoja ambayo ingeweza kumsaidia Zitto ni vita dhidi ya ufisadi. Tatizo ni kwamba Zitto ameshindwa kujipambanua kama mpambanaji wa kweli, asiyetiliwa mashaka yoyote, wa vita dhidi ya ufisadi.

Unataka kuniambia ndani ya CDM Zitto anakubalika na anaushawishi mkubwa kushinda kiongozi yoyote? Na hukoBashaDido,
..kwasababu wote wanaungwa mkono na makundi yenye ushawishi mkubwa ndani ya vyama vyao na ktk jamii kwa ujumla.
Wanasema BAN ni Katibu Mkuu wa kwanza Marekani ikipika kelele MIGUU YAKE haitetemeki... Lakini Ukiangalia Marekani Rais wao sio Imperialism Minded labda ndio Maana BA ana kata viuno kwa Maringo... na Kazi hana SUDAN pamemshinda...nnguu007,
..tuseme wote walipwaya, Migiro pamoja na bosi wake Ban.
..tatizo langu ni kwamba Migiro na Zitto hawana tofauti kubwa.
..sasa kama wanaamini ktk mambo yanayofanana, ni yupi unafikiri anaweza kujenga ushawishi kwa wananchi na wakamkubali??
NB:
..halafu kwanini Zitto ni kipenzi cha wana CCM kuliko mwana CDM yeyote yule??
BashaDido,Unataka kuniambia ndani ya CDM Zitto anakubalika na anaushawishi mkubwa kushinda kiongozi yoyote? Na huko
ccm unaamini ni kweli Rose Migiro anakubalika kushinda EL.Magufuli,Membe na Dr Shein?
Hivi kwani haiwezekani kufanya kazi na yet ukaongelea 2015? Hivi ww unapanga mipango yako ya mwaka 1 tu?Watanzania bana......
wenzenu wanafanya kazi nyie mawazo yako 2015....haya endeleeni na ramli zenu
Mungi,Siasa ni mpaka uzungumzie ccm na chadema. kazi kweli kweli!
Mtikila alishashinda kesi ya mgombea binafsi.................................... let's look beyond