Hii Tanzania ikipata Mtu makini ambaye atawasaidia watanzania, mafisadi wanamkataa! Shame on them!
Mgimwa kama alikuwa na idea ya kubana matumizi ili kuepuka madeni feki na misamaha ya kodi, kwa muda fulani Tanzania tungepata maendeleo. Kwa nini ukitofautiana mawazo na mtu, wana M RIP????
Watanzania sasa tuamke na tuache uoga. Uoga na Njaa nyepesi nyepesi inatusumbua watanzania. Mtu akihongwa pesa kidogo ya Karanga, anawasaliti Watanzania.
Uoga nao umetuzidi watanzania!