2015 onwards Nchi itaendeshwaje Bila mikopo? Embu CCM jibuni hili

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Serikali inayotawala chini ya Rais Mpendwa JK, je after 2015, nchi itaendeshwaje bila mikopo?

Je lini hili deni la Trillion 25 litaanza kulipwa?

Rais wa awamu ijayo hatakopa????

Je tutawaachia wageni misamaha ya kodi (kukwepa kodi) mpaka lini?

Je makampuni makubwa yatakwepa kodi na mengine kupata msamaha wa kodi mpaka lini?

Naomba mtaalamu wa Uchumi waje hapa wasema deni la taifa linapaswa kulipwa lini?
 
Mkuu mikopo ni njia mkakati unaotumiwa na nchi tajiri kuendelea kutawala nchi masikini zenye utajiri mwingi wa asili! Wao wanaamini njia rahisi ya kutufanya tegemezi ni kutupatia mikopo ambayo wanajua fika hatutaweza kulipa hayo madeni kutokana na riba kubwa wanayotoza! In exchange, watatuingiza kwenye mikataba ya kishenzi kama walivyofanya wakati ule walipo masamehe BWM kwa mashartii ya kubinafsisha viwanda, mashamba na njia zote za uchumi ikiwemo kuridhia ile sera ya madini ya mwaka 1998! Mpango huu wa madeni huwa wakati mwingine unafanywa kishenzi sana kwa kufadhili vikundi vya waasi ili hatimae serikali iliyoko madarakani ikope fedha za kununulia silaha na hatimae kuingizwa kwenye utegemezi usiokwisha! Dr. Mgimwa alikuwa right pale aliposhauri tupange bajeti inayoendana na mapato yetu halisi badala ya kujumuisha nchi wahisani kwani misamaha ya kodi tunayoletewa yako sawa na kiasi wanachotuletea kama misaada ...kilichofuata .... RIP Mzee wetu...
 
Hii Tanzania ikipata Mtu makini ambaye atawasaidia watanzania, mafisadi wanamkataa! Shame on them!

Mgimwa kama alikuwa na idea ya kubana matumizi ili kuepuka madeni feki na misamaha ya kodi, kwa muda fulani Tanzania tungepata maendeleo. Kwa nini ukitofautiana mawazo na mtu, wana M RIP????

Watanzania sasa tuamke na tuache uoga. Uoga na Njaa nyepesi nyepesi inatusumbua watanzania. Mtu akihongwa pesa kidogo ya Karanga, anawasaliti Watanzania.

Uoga nao umetuzidi watanzania!
 
Hii Tanzania ikipata Mtu makini ambaye atawasaidia watanzania, mafisadi wanamkataa! Shame on them!

Mgimwa kama alikuwa na idea ya kubana matumizi ili kuepuka madeni feki na misamaha ya kodi, kwa muda fulani Tanzania tungepata maendeleo. Kwa nini ukitofautiana mawazo na mtu, wana M RIP????

Watanzania sasa tuamke na tuache uoga. Uoga na Njaa nyepesi nyepesi inatusumbua watanzania. Mtu akihongwa pesa kidogo ya Karanga, anawasaliti Watanzania.

Uoga nao umetuzidi watanzania!
Mkuu nchi za kibeberu huwa wanambinu nyingi, wao wana-operate thru MNCs like Exxon Mobil, GE, Symbion, Anglo Ashanti, De beers, Barrick, Petra et al... Makampuni haya huwa yanakuwa na bajeti ya kununua hata uchaguzi wa Rais! wao wanajiita game changer! wanamuweka waziri na hata rais wamtakae kwani wanauhakika wa kurejesha gharama zao! Mkuu usishangae hata kidogo kumuona prof Mzima anapiga debe ili rasilimali zetu zisitunufaishe! ... Kinachosikitisha mbinu wanazozitumia ni zile zile toka Enzi za mangungo wa msovero hadi leo....
 
Dependence syndrome on foreign aid and and investment as opposed to local investement ni mambo makuu yanayorudisha nyuma jitihada zetu za kujikomboa kiuchumi.Tumekuwa vilevile wategemezi wa kifikra katika kupanga mipango yetu ya ndani thus we are poor and sorry.

Kama tunashindwa kuemphasis local investment na badala yake tukaendelea kuwa wachuuzi wa malighali tutaendelea kuwa wategemezi ni hivi ndivyo the agents of starvation and mental deprivation i.e IMF,WB and others wanavyotaka.

Serikali inaweza kabisa kuseek sunspension ya loan repayment for a given period of time na kuchannel toward local investment the funds that were intended for loan repayment.Vilevile since we have qualified for HIPC all relief retained from the relief lazima zipelekwe kwenye local investment.

With tigh government expenditure tunaweza kabisa kupunguza utegemezi.Intention wa wazungu kabla na baada wa uhuru ni kutunyonya hivyo tusipoweza kutumia akili zetu to the fullest wataendelea kutunyonya but since viongozi wetu waliopo wa kisiasa wameshindwa kujifunza kutokana na historia na kukubali kirahisi masomo ya unyonyaji i.e. liberalisation na privatisation bila kuchanganya na akili zao basi kuna haja ya kuwajibisha kupitia sanduku la kura.
 
Today's politics are for economic growth an technological advances.And in order to advance technologically you require a supporting economy.

Binafsi ningefurahi kuona mwaka 2015 na kuendelea economic issues take centre stage in our political rallies baada ya hili suala la katiba mpya kupita.Constitution is the priority at the moment but mwaka 2015 na kuelendea uwe ni mwaka wa kutafuta radical but real and workable solutions to our country's economy which are deliberately avoided by the entire crop of the current political matrix.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom