Serikali inayotawala chini ya Rais Mpendwa JK, je after 2015, nchi itaendeshwaje bila mikopo?
Je lini hili deni la Trillion 25 litaanza kulipwa?
Rais wa awamu ijayo hatakopa????
Je tutawaachia wageni misamaha ya kodi (kukwepa kodi) mpaka lini?
Je makampuni makubwa yatakwepa kodi na mengine kupata msamaha wa kodi mpaka lini?
Naomba mtaalamu wa Uchumi waje hapa wasema deni la taifa linapaswa kulipwa lini?