2015 hakuna pa kukopa na kugharimu maisha

2015 hakuna pa kukopa na kugharimu maisha

KITA

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
20
Reaction score
5
Kuna nyakati unajiuliza mtanzania kama marehemu Mgimwa anazaliwaje?

Kuna nyakati unajiuliza mtanzania kama marehemu Salome Mbatia anazaliwaje?

Kuna nyakati unajiuliza watanzania kama Magufuli, Mwakyembe, Nagu, Migiro, Slaa, Zitto n.k. ambao kwa kiasi wamemuonesha mtanzania umuhimu wa uadilifu wanazaliwaje?

Haya ni maswali machache tu tukielekea uchaguzi 2015, tukikumbuka wahanga wa madeni ya mission 2005, wakipoteza ajira zao, na wengine kufariki kwa utata, katika mchakato wa kulipa madeni ya gharama "kuzimu" za uchaguzi.

Hata hesabu za vyama vya siasa zikikaguliwa, nani anayekagua makusanyo ya TRA, na kukagua "Other Charges", nani anayethibitisha shortage za kuhesabu pesa zinazopelekwa benki kuu, nani anayehakikisha ukamilifu (completeness) ya makusanyo ya almashauri za wilaya/ mikoa?

Bado watanyamaza, tutaomboleza na kusahau.

EE MUNGU TUSAIDIE.

KUSIWEPO NA PA KUKOPA NA KUANZA KUNYAMAZISHA WADAI NA MASHAHIDI WAO. AMEN.
 
Back
Top Bottom