2015/2016, Watanzania 18 walipata kazi katika Shirika la Ndege la Emirates

Inconvenient Truths

JF-Expert Member
Oct 21, 2014
439
354
Je, kuna mtu anajua wakenya wangapi walipata kazi Emirates mwaka 2015/2016 ?

Kuna mtu anaelewa kwanini watanzania wanaogopa au hawapati fursa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa kulinganisha na kijinchi kidogo cha Kenya?

Naamini huu mjadala utazua mambo mengi.
 
Emirates inafanya interviews nyingi sana Tanzania, Lakini wanashindwa kupata vijana makini ambao wanatimiza vigezo wanavyo vitaka. Kilichokuwa kinawarudisha nyuma ni kuwa waliokuwa wanaingiliwa sana katika mipango ya uajiri. Walikuwa wanatayarishiwa watoto au wasichana maalumu wa wakubwa, na hata wanapo watu Mia agencies za manpower supply, hizo agency huwa zinauza hizo nafasi za interview kwa bei ya juu sana. Hilo jambo liliwaudhi sana Emirates kwa hivyo hii Sasa wanawajiri watanzania as walkin candidates at their HQ in Dubai.
 
Sababu nyengine kubwa ni lack of experience kwa Watanzania kwenye field ya infight services. Wakenya wengi wanaoajiriwa wanatoka KQ, Watanzania watatoka ATC?
 
Kuna kijana mmoja wa juzi juzi tu nimeshangaa hivi karibuni kumuona anarusha Airbus za emirate.
 
Je kuna mtu anajua wakenya wangapi walipata kazi Emirates mwaka 2015/2016 ?
kuna mtu anaelewa kwa nini watzania wanaogopa au hawapati fursa kufanyakazi kwenye mashirika ya kimataifa kulinganisha na kijinchi kidogo cha kenya

naamini huu mjadala utazua mambo mengi
Watanzania hawapati kazi/fursa kwenye mashirika ya kimataifa hata kama ni ya Kiswahili ni: LUGHA baba, lugha ya biashara ni Kiingereza na hata kama unaambiwe ufundishe Kiswahili Ulaya lazima ujue lugha ya pili which is English!!! ila wapo wa Tz wanaoweza kumudu kazi hizo ambao ni 5% au 10% ya wanaohitimu vyuo, 90% they cannot manage.
 
Emirates inafanya interviews nyingi sana Tanzania, Lakini wanashindwa kupata vijana makini ambao wanatimiza vigezo wanavyo vitaka. Kilichokuwa kinawarudisha nyuma ni kuwa waliokuwa wanaingiliwa sana katika mipango ya uajiri. Walikuwa wanatayarishiwa watoto au wasichana maalumu wa wakubwa, na hata wanapo watu Mia agencies za manpower supply, hizo agency huwa zinauza hizo nafasi za interview kwa bei ya juu sana. Hilo jambo liliwaudhi sana Emirates kwa hivyo hii Sasa wanawajiri watanzania as walkin candidates at their HQ in Dubai.
Watangaze hizo nafasi redioni sio kutafuta kwa siri siri ndio maana wanaletewa watoto wa vigogo tu nao vilaza vilevile.
 
Tatizo upeo!!
Nafasi hata (even) ya Kiswahili ikitokea katika mashirika ya kimataifa huchukuliwa na wa Kenya, wa Uganda(kama mkurugenzi wa swahili BBC ni Mganda - P. Musembi baada ya Tido Mhando wa Tz kustaafu) wa Rwanda, wa Burundi angalia Kamau, Makori, Esther Githiu wote wa VOA swahili ni wa Kenya ---Lugha Lugha Lugha ya biashara kwa wa Tz kazi kweli kweli!
 
Je, kuna mtu anajua wakenya wangapi walipata kazi Emirates mwaka 2015/2016 ?
Kuna mtu anaelewa kwanini watanzania wanaogopa au hawapati fursa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa kulinganisha na kijinchi kidogo cha Kenya?
Naamini huu mjadala utazua mambo mengi.
Watanzania Mwenyezi Mungu katujalia kila kitu, ardhi nzuri, mito, mabonde, maziwa, milima mizuri, dhahabu mpaka tanzanite inayopatikana tz tu nk nk. Kikubwa kabisa katujalia viongozi bora na chama kitukufu ccm kiilichokaa madarakani kuliko chama chochote Afrika kama sio duniani. Sasa 'baraka' zote hizi ya nini kujiangaisha na kutafuta kazi ili usimangwe!? Acha hao ambao hawakupendelewa na Mungu wahangaike na vibarua hivyo sisi nchi yetu ina kila kiiiiiituuuuuu! ...oh, usingizi ulikuwa mtamu ndio nazinduka sasa.
 
atanzania ni wavivu sana wa kutafuta fursa za nje ya nchi..asilimia 90 ya wanaojiita wasomi akili zao zinaishiaga i.e nssf,bot,tra,wizara za serikali...yani wapo majamaa kibao wanaexperience za kutosha na elimu zinazohitajika kwa mtu kuwa wakimataifa lakini hawawezi hii mara nyingi inatokana na msingi wa kubebana maofisini..wazungu hawana fitna kama uwezo na sifa unazo unapewa kazi...kama umeomba...
 
Back
Top Bottom