Car4Sale 2008 Toyota Harrier “Mang'anyu” iko sokoni

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
609
Reaction score
550
Bei/Price🏷️👉🏾TSH 42M
Call/WhatsApp📞+255 747 999 927

TOYOTA HARRIER

Year: 2008
Engine: 2,360Cc
Mileage: 48,000+

Transmission: AUTO

✨Formica
✨Leather Seats
✨Sport Alloy Wheels

✅100% Duty Paid
✅Swap Deals Allowed
✅Zero Registration Cost

#ToyotaHarrier #fyp #Usedcarsforsale
IMG-20260411-WA0022.jpg
IMG-20260411-WA0014.jpg
IMG-20260411-WA0013.jpg
IMG-20260411-WA0028.jpg
IMG-20260411-WA0018.jpg
IMG-20260411-WA0023.jpg
IMG-20260411-WA0026.jpg
IMG-20260411-WA0025.jpg
 
Kweli maisha yanaenda kasi sana, yaani taco la nyani linafika 40+ sasa!!

Aisee!
 
Ni Kweli Kabisa Kwa Sasa Magari Yamepanda Sana Bei Kutokana Na Gharama Za Usafirishaji Yaani Freight Cost Na Kupanda Kwa Ongezeko La Bei Za Huduma Katika Bandari Yetu(Wharfage) Sambamba Na Ushuru Wa Magari Kuwa Juu.

iSt Kwa Sasa Ambayo Haijasajiliwa Ni TSH 21,500,000/=, Toyota Carina Ni TSH 26,800,000/=, Na Nyinginezo Nyingi.
 
Sawa mkuu, ila bei zako huwa zipo juu kuliko madalali wengine, nimejiridhisha juu ya hilo baada ya kukufuatilia kwa muda kiasi.
 
Asante Kwa Feedback!

Japo Bidhaa Huwa Zinatofautiana Viwango Na Ubora Inatakiwa Ulielewe Hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom