Habari zenu WANA cc wote.
......Ni matumaini yangu wote tupo tayari kuupokea mwaka huu mpya ambao ni kweli tumepita katika mengi yasiyo elezeka.Hatuachi KUmshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema ZAKE tu hai.
...kama upo macho tupige story kimwisho mwisho hii siku haitakuja tena katika maisha yetu.
..........2014 is loading....please wait....