Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #41
Napita tu
mbona mimi hujanitaja au unaniogopa...
labda hajui kama ulikuwa unalinda last vote ya CL
Wewe manoah king'amuzi toka UK kina local channels zote?? Nasikia una receiver 6 kukamata local zote!
na kwako pia Marry Hunbig , mzima ?
Mimi mzima kabisa!
mchana mwema ila karibu hapa
Dah,naja kufaudu lol!!
chezea mimi! Kheri ya mwaka 2013View attachment 77878
manoah from special