Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
mbona mimi hujanitaja au unaniogopa...
sijajiona afu unipake na rangi ya samawati!!!!!!
Nimeamini manoah umeingia na digital 2013 kama radar yako imetuona, ila nadhani tatizo liko kwenye capacity yake kwani haikuwaona members wengi niliowaona kwa radar yangu.
Hope unaendelea kukua sasa na kuachana na yale mathread ya 2012.
2013 HOYEE
Hawa hawatalala mwaka mzima 2013.
Hawa hawatalala mwaka mzima 2013.
Nikuogope nini watu8 mkuu, ulikua jukwaa gani kwanza mda wa 00:00 ulipo ingia?
Router moja ili unguaMajukwaa yote, mambo ya multiple tabs kwenye Browser radae yako ikazinguka..
Imebidi ni agize Router nyingine BAE system baada ya wiki 2 itakuwa imefikaMajukwaa yote, mambo ya multiple tabs kwenye Browser radae yako ikazinguka..
Bora ni nilikuwa zangu jukwaa la kikubwa
mwenyewe mbona hujajitaja?